Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Napenda kuwasalimia habari zenu na poleni kwa majukumu ya kuelimishana ktk jukwaa ili pendwa natumaini tutashilikiana kwa namna yeyote ktk kujenga taifa ili, sitakua ktk upande wwte kiitikadi ila...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Karibu magomeni makanya tuje kuihudumia gari lako na kulirudisha kwenye muonekano wa awali!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Jamii forum.... Naomba kujumuika nanyi rasmi... Nimekua guest Kwa mda sasa ila ndo nimejiunga rasmi... Live long Jamii Forum... A place to be
0 Reactions
8 Replies
836 Views
Ni kwa nn watu wengi hunyanyasa wasichana wa kazi huku wanategemea huyo huyo kukaa na mtoto wao kama ndugu yake? Je, hawa wasichana wana akili timamu? ......Kama wanayo, tujiulize...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni muda mrefu sasa umepita tangu kuhitimu vijana wetu elimu mbali mbali lakini kumekuwa kimya sana!!
1 Reactions
2 Replies
638 Views
Habari wana JamiiForums, nimefurahi sana kujiunga na JF maana nilikua sijui ni jinsi gani ya kujiunga&pia sikuwahi kujua kama kuna app ya JamiiForums Ni muda mrefu sana nimekua nikigoogle tatizo...
1 Reactions
8 Replies
889 Views
Wapendwa wa jf, hodi.Naomba kujiunga nanyi kwenye jukwaa hili maarufu. Nilikuwa nachungulia tu ila sasa naona niingie sebuleni kabisa niangalie tv na kushiriki mazungumzo. Asante!
0 Reactions
17 Replies
1K Views
habari za jioni wadau. kwanza nianze kwa kuweka wazi kabisa mimi sio mgeni hapa jamvini ila ni mgeni kwa kupitia id hii ya jipu baada ya kupigwa ban account yangu nilioitumia since 2012...
0 Reactions
7 Replies
871 Views
Habar za asubuhi wana JF. . . Finally niko humu hopefully nitajifunza mengi kutoka kwenu, naombeni mnipokee
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Habarin Huwa nainjoy xn kuona post mbali mbali Japo nachangia kwa kutoa maon yng bt kuna tatizo ambalo lina nikumba hasa nilipokuwa nataman nipost new topic Hasa ktk upande wa Love story...
0 Reactions
4 Replies
729 Views
Hodii cjui hata nifanye nn hapa
0 Reactions
3 Replies
734 Views
Mm n mgen humu kdg, naomben utaratibu na kanuni na namna ya kutumia JF..
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jaman m mgeni humu naitwa Amon Vahaye nipo Iringa town apa
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari zenu wadau na washirika wa jf? mimi Mjumbe wa Amani ninayo furaha kubwa kujiunga nanyi, baada ya kutumia jf kama mgeni leo nimeona nijiunge na kuwa member.Nimefurahishwa na kila...
3 Reactions
65 Replies
4K Views
Hodiii jf
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Nawasalim wote
0 Reactions
6 Replies
768 Views
Niaje members
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba mnipokeeeeee[emoji122]
1 Reactions
6 Replies
680 Views
Am new here... Any tips?? [emoji4] [emoji4]
1 Reactions
18 Replies
1K Views
naombeni mnikaribishe
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom