Napenda kuwasalimia habari zenu na poleni kwa majukumu ya kuelimishana ktk jukwaa ili pendwa natumaini tutashilikiana kwa namna yeyote ktk kujenga taifa ili, sitakua ktk upande wwte kiitikadi ila...
Ni kwa nn watu wengi hunyanyasa wasichana wa kazi huku wanategemea huyo huyo kukaa na mtoto wao kama ndugu yake?
Je, hawa wasichana wana akili timamu? ......Kama wanayo, tujiulize...
Habari wana JamiiForums, nimefurahi sana kujiunga na JF maana nilikua sijui ni jinsi gani ya kujiunga&pia sikuwahi kujua kama kuna app ya JamiiForums
Ni muda mrefu sana nimekua nikigoogle tatizo...
Wapendwa wa jf, hodi.Naomba kujiunga nanyi kwenye jukwaa hili maarufu.
Nilikuwa nachungulia tu ila sasa naona niingie sebuleni kabisa niangalie tv na kushiriki mazungumzo. Asante!
habari za jioni wadau. kwanza nianze kwa kuweka wazi kabisa mimi sio mgeni hapa jamvini ila ni mgeni kwa kupitia id hii ya jipu baada ya kupigwa ban account yangu nilioitumia since 2012...
Habarin
Huwa nainjoy xn kuona post mbali mbali
Japo nachangia kwa kutoa maon yng bt kuna tatizo ambalo lina nikumba hasa nilipokuwa nataman nipost new topic
Hasa ktk upande wa Love story...
Habari zenu wadau na washirika wa jf? mimi Mjumbe wa Amani ninayo furaha kubwa kujiunga nanyi, baada ya kutumia jf kama mgeni leo nimeona nijiunge na kuwa member.Nimefurahishwa na kila...