Hamjambo Mabibi na Mabwana? Kuanzia leo nitakuwa pamoja na nyinyi, mnipokee vyema, mnikaribishe vyema, mnipe vyenu vya tunu na vya thamani nami nitakupeni vyangu vyote, sina zaidi...thanx
Habari za Leo wakuu.
Mimi ninaitwa Loth Oltukai. Ni mwanafunzi katika shule ya kimataifa ya Isamilo School Mwanza.
Nifuraha yangu kuweza kuwa mmoja Wa jamii hii. Naipenda Sana nchi yangu na...
Habari zenu wa ndugu mi mgeni hum hamjambo wakubwa wadogo marahaba nimeona sio vr kuingia nyumba ya mtu bila kutoa salam wala kupiga hodi si katika maadili yetu watanzania hasa msukuma mie nilie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.