Mshiriki mpya kabisa ndani ukumbi huu maridhawa.
Ni kijana kutoka huko kusini mwenye elimu ya kati na natambulika kama Mr.SongeaOne.
NAOMBENI USHIRIKIANO WENU WANDUGU.
Naomba mnipokee na kunipa ushirikiano wa kutosha wakuu, nilikuwa intruder for longtime lkn pasipo kushurutishwa na mtu yeyote nimeamua mwenyewe kujisajili na kuwa member kamili
Naombeni...
Baada ya kujisajili wiki mbili zilizopita hatimaye leo nimepata fursa ya kupost hii topic yangu ya kwanza.
Ila admin mnazingua kuconfirm account ni wiki mbili jamaa, tena mpaka personal emails...
Nashukuru kujiunga na jf watu makini wanaojua nini wanaandika.Tofauti na nyingine hapa nimekuta habari za uhakika na zilizochambuliwa na watu wenye akili.Nimekuwa nikitembelea humu mara kwa mara...
Nawasalimu kwanza, wakubwa shikamoo, vijana wenzangu mabo vipi?.
Nimekuja tushirikiane ktk forum hii ili kwa michango na mawazo yetu hakika 2tajenga nchi ye2 kwa pamoja.
Asanten
Wenyeji nimekuja tushiriki pamoja katika mada mbalimbali, ni mgeni tusaidiane kwa yale ambayo nitaona mapya nisaidiwe kuelekezwa kv, kuna neno uni PM sijui maana yake, nilikutana na neno hili kwa...