Hodi humu ndani, sisi ni blog johnkitime yenye habari za muziki, historia ya muziki wa Tanzania na nchi jirani na pia blog yenye habari picha na vichekesho vya kiswahili. Pia tunatoa elimu ya...
Habari zenu wana jamii forum!
Nina furaha kujiunga nanyi jamii forum, ni siku nyingi nilikua nafatilia habari na posts zenu..na nimeona sasa ni wakati muafaka wa kujiunga nanyi. Naomba mnipokee...
Hodii hapa jamvini na wasalimia enyi ndugu zanguni wote Asalaamaleykum popote pale mlipo, ipendeni inchi yenu,lindeni amani na upendo vilivyopo ktk nchi hii ilojaa kili aina ya rasilimali lkn...