Mimi mgeni wenu nipokeeni bila ya kinyongo , nilikua napitia humu kabla ya leo kuruhusiwa kuingia rasmi.
Naomba ushirikiano wenu mimi ni mgeni wa Mungu naomba munipokee.
mimi nimgeni, hapa kwenye hii forum, nimeipenda sana. mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, wafugaji mpo?? ambaye ana kuku aina ya Dorep na kenbro please anifahamishe.asanteni
Wakubwa shikamooni, walika langu mambo vipi na wadogo kwangu nimeipokea salamu yenu.
Wote naombeni munipokee jukwaani maana nina kiu kweli ya kujumuika nanyi.
ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.