Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Jaman wenyeji mpo...... ???? Mi mgeni mitaa hii
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wapendwa.nafurahi kuwa nanyi katika jukwaa hii.Naomba mnipoke.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa. Nina furaha isiyo kifani kuwa miongoni mwa wanajukwaa hili la watu makini nimekuwa nikisoma mada zenu mbalimbali na majibizano au majadiliano yenu na kuvutiwa sana. Niwataje...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana jamvi nimekuwa msomaji sana wa hapa MMU for 3 yrs! now nimeamua kuingia mzima mzima nami nichangie lol jamani. Naomba mwenyeji hapa anitembeze na kunipa miiko ya hapa!:msela:
1 Reactions
104 Replies
7K Views
Habari wakuu heshima kwenu. Nimechungulia nimechoka nakaribishwa?
0 Reactions
3 Replies
772 Views
Habari zenu wakuu wa nchi nipokeee kwa mikono yose
0 Reactions
5 Replies
795 Views
Jamani nawasalimieni watu wa humu ukumbini. Nafurahi kujumuika nanyi ktk kubadilishana mawazo na kupashana habari. Asanteni.
0 Reactions
5 Replies
606 Views
mimi ni member mpya katika jf nikaribisheni kwa mikono miwili
0 Reactions
3 Replies
788 Views
heloo naja humu jf
0 Reactions
3 Replies
765 Views
inakuaje pande hizi mko poa!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
I am new member plz accept me wana jf
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu vikongwe wa Jamii Forums. Nawasalimu kwa upendo. nashukuru nimejiunga nanyi, naomba ukaribisho wenu. Mwenyezi Mungu awajaalie kheri. Asante.
0 Reactions
10 Replies
935 Views
nlikua najaribu kama npo active
0 Reactions
3 Replies
937 Views
Habari zenu vikongwe wa Jf, nawasalimu kwa upendo. nashukuru nimejiunga nanyi, naomba ukaribisho wenu. Mwenyezi Mungu awajaalie kheri. Asanta. ​
0 Reactions
11 Replies
972 Views
Habari zenu wana GT, Napenda kujitambulisha tena ndani ya jukwaa hili tafadhali mnipokee. Mimi ni mgeni kabisa ila nmejifunza mengi kupitia hii Jf hata kabla ya kuingia, nmecheka sana kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari yenu wa Jamii Forums.Mimi ni mgeni wenu na nimefurahi kukutana nanyi humu ndani. Naombeni ushirikiano wenu.
0 Reactions
7 Replies
889 Views
Natoa heshima kwenu wana jamii wote kwa ujumla. Nipo nje ya mlango nawaomba nifungulieni mnikaribishe.
0 Reactions
4 Replies
834 Views
Hi Jamii forum family I just joined in very interesting people humu ndani wish us all a good weekend.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hodi wenyeji humu ndani. Leo ndiyo nimeingia rasmi humu,ninaomba mnipokee
0 Reactions
3 Replies
877 Views
Mimi ni mgeni hapa naomba mnikaribishe na mnipe ushirikiano. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
643 Views
Back
Top Bottom