Jambo Tanzania!!
Namshukuru Mungu kuwa hapa.Nlikuwa Nasikia sikia tu jf...tena nililike page yao kule facebook.
Naomba Mnipokee Kwa Mikono Miwili..
AHSANTENI!!
Nachukua nafasi hii muhimu kumshukuru kwanza Muenyezi Mungu pili Mutengenezaji Wa hii software na ya kutuunganisha watanzania wote tulipo hapa duniani kote
Mwisho kabisha nawashukuru sana kwa...
Kinacho endelea bungen ni ishara tosha uvumilivu umewashinda mpaka wabunge huku nje na ndani ya bunge ikiwa ni pamoja na ufisadi. Mikataba hewa.. Halo ngumu ya kimaisha wa raia pamoja na amani...