Ndio kwanza najiunga kwenye jukwaa zima la jf sina nimjuaye zaid ya kuwasoma kwa muda mrefu kupitia google hebu nipeni uzoefu wenu wa jumba hili ili nisije potezwa mwenzenu@happy xmass
by masinki
Habari wana jf. Baada ya kuwa msomaji na mtazamaji kwa muda mrefu nimeona ni vyema nijumuike nanyi. Naomba mnipokee,mnielekeze hata kunirekebisha. Asante sana
Hi everyone, I m new to this site. I am James Liu connected with TOEFL Network at British Columbia an online e-learning Institute of Technology. Its provide an online TOEFL e-learning website...
Nimekuwa nikisoma majadiliano yenu kwa aina mbalimbali nimekuwa nikiyafurahia na kuelimika pia, nimeona sina budi niungange nanyi naamini ntapata kujijuza na kujifunza mengi toka kwa wazoefu...