Habari zenu wana jukwaa hili? mi mwenzenu ila nilikuwa kule jukwaa la siasa, nimeamua kuhamia huku kule kumenishinda kabisa, lile jukwaa limekuwa kama Bunge la Tanzania (majungu, kejeli, vijembe...
Hellow..mambo guys??well,hata sijui niandike nini ila am new here na napenda kuwa mshiriki mzuuri so wanna ask u guys kunisaidia nifikie malengo..thank you soooooo much