Hodi wapendwa naomba mnipokee....nitakuwa pamoja nanyi ikiwa ni pamoja na kuchangia forum yetu pendwa..haya twende kazi...
Kwa Ujasiriamali tukutane kule kwenye matangazo na biashara
Thenki yuu...
Hatimaye nimekuwa miongoni mwa wanajamii wa hii forum yetu. Nawashukuru wote waliondaa jukwaa hili, kwa wenyeji naombeni ushirikiano wenu na kubwa zaidi mnielekeze yanipasayo kufanya. Kwa uongozi...
Hodi hodi humu ndani, Jukwaani naingia...
Dinazade nimekusikia, mamaafacebook pia...
Honey faith We kama nakujua!! Eveline salt We Pia..
Mgirik hivi we kabila gani!? 50cent nakuja kwenu...
Trip2Dubai ni website inayojulisha watu wanaotegemea kuzuru mji wa Dubai uliyopo Mashirki ya Kati - Uarabuni
Karibuni tumeanziasha ukurasa wa Kiswhili, hivyo ni kupata habari motomoto kutuka...