Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hellow. Natambua uwepo wenu wakubwa kwa wadogo. Tuko pamoja nipokeeni kijana wenu tushirikishane mambo mbalimbali Niko teari Kuchangia na kuto mada humu ndan.
0 Reactions
5 Replies
765 Views
wana jf habar zenu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Thanx,i like zic website
0 Reactions
6 Replies
740 Views
Habari zenu wanajukwaa kwa mda mrefu nimekua nafuatilia mijadala mbalimbali ya humu nimevutiwa naomba mnipokee wakuuu.
0 Reactions
3 Replies
721 Views
nianze kwa kushukuru uongozi wa JF kwa kunipa nafasi ya kujiunga na mtandao huu wenye kutembelewa na watu wengi nadni na nje ya Tanzania. pia naombeni ushirikiano wenu na mimi nitakuwa tayari...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Issue ya sitti mtemvu vipi? Hakuna suluhisho hadi sasa hivi, siku zinaenda na washiriki miss world 2014 wameanza kupromotiwa ndani ya tovuti ya miss world, wanavuta vuta siku ili wampeleke...
0 Reactions
3 Replies
883 Views
Hi guys i registered today on this forum because i have plans to visit east Africa next year, as tourist. Of course, i hope i will have fun here on forum too. Cya Lionking
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wakuu , nimekuwa mfuatiliaji wa jamiiforums kwa muda mrefu sasa bila kujoin, leo nimeamua kuungana nanyi rasmi, nipokeeni wakuu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini wana jamii Naomba ukaribisho wenu .
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana JF habarini zenu naombeni mnipokee kwenye jamvi hili
0 Reactions
5 Replies
835 Views
Nimerudi tena jf baada ya kukaa kimya kwa miaka miwili.
0 Reactions
5 Replies
936 Views
habari zenu waungwana,natumai tutakua wote
0 Reactions
3 Replies
704 Views
Nawasalimu wote humu ndani. jaman mimi n mgeni naomba mnipokee nami kama mmoja wa familia hii
0 Reactions
5 Replies
842 Views
Mungu ni mwema ameniwezesha kujiunga Jf Naomba mnipokee
0 Reactions
5 Replies
936 Views
ni ukweli usiopingika kuwa kansa zimekuwepo toka zamani hata kabla babu yangu hajazaliwa lakini kwa jinsi rekodi zinavyoonyesha kansa imekuwa ikongezeka sana miaka ya hivi karibuni. nimejaribu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mgen kabisa mnivumilie nkikosea asanten
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hodi hodi! Nimekuja kuungana nanyi wana JF nipokeeni
0 Reactions
12 Replies
1K Views
:cool:
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mmnnh mmmnh hodi wenyeji wa hapa ndani.
0 Reactions
4 Replies
753 Views
wenyeji habari zenu
1 Reactions
2 Replies
709 Views
Back
Top Bottom