Jamani kaka,dada mpaka wote wana akaunti hapa,kwanini mimi? Naomba nikaribishwe kwa moyo mkunjufu! !! kiburi ni kaburi. Ni mimi mtoto wenu,mdogo wenu JF mtoto aka zumbe kimweru.
Naamini ndo Kama siku ya kwanza shule baada miezi 4 hakukuwa na hata dent m1 aliye niita jina langu nilikiwa na nick names za kutosha .. That's how my ideas created me.. Let share what we have
Habar zenu wenyeji? Ningependa kutumia nafas hii kuwashukur wahusika na waanzilishi wa jukwaa hili ambalo limekuwa likitupatia habar mbalimbali hasa zile ambazo tulikuwa hatuzifaham asanten sana
Miaka ya 2006,nilipigwa ban kwa kosa la mdau moja kuingia akaunti yangu na kuhusisha mtu mmoja humu ndani na kigogo mmoja wa serikali, ila leo nimerudi rasmi tena, hi kwa ndugu Invisible na...