Hodi jamani,
Wandugu, nimekuwa humu jf, takribani miaka miwili, nilikuwa tu na browse as a guest, sasa nimeonelea acha niwe member kamili, japo sio mgeni kivileee..!
I hope mtanikariibisha...
Nimekuwa nikisoma na kujifunza mambo mbali mbali hapa jf kwa kipindi cha muda mrefu sasa. Nakaona huwa nakosa mambo mengi nikiwa sijajiunga, hi yo Leo nimeona nijiunge rasmi. Naombeni mnipokee.
Mimekuwa nikisoma ujumbe humu ndani kwa zaidi ya miaka 2 lkn leo nimeamua nijisajili rasmi ili niwe napost mawazo yangu najitamburisha kwenu kama political engineer
Naitwa Laurian.
Mimi ni mpenzi wa kufanya shughuli mbalimbali kwenye mtandao. Shughuli hizo ni pamoja na ujenzi wa tovuti (website design), uandishi wa makala mbalimbli na biashara za kwenye...