Mambo Vipi Ndugu Zangu? Wakubwa Shikamoni! Mie Nazisomaga Topics Kwa Nje Tuu Leo Ndo Mejiunga Rasmi Kwa Ku Log In....Napenda Mawazo Ya Humu. Naomba Mnipokee ☺☺
leo ni birthday yangu natimiza miaka kazaaa:hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail:
habari ndugu wapenda amani,maendeleo n.k
naomba lidhaa yenu tuwe pamoja katika hoja na vihonja.najua kunabaathi tutatofautiana kwa ajili ya Chama,dini,michezo na n.k.
naomba sana haya...
habari zenu wanaJF.
mm ni mgen humu nna kama sku kadhaa na nnaomba samahan kwan sikujua kama kuna jitambulisha.
kwa kwel nmefuraiya sana jnsi elmu ya kmaisha inavyo tolewa hum, hakka kwa hz sku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.