Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
jamani bandugu nami nimeingia humu leo!!kazi kwenu msio na wake!!
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mambo Vipi Ndugu Zangu? Wakubwa Shikamoni! Mie Nazisomaga Topics Kwa Nje Tuu Leo Ndo Mejiunga Rasmi Kwa Ku Log In....Napenda Mawazo Ya Humu. Naomba Mnipokee ☺☺
0 Reactions
19 Replies
1K Views
jaman naomba mnipokee kijana wenu naja humu ndani!.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
My first time to post Nimejiunda kwenye jamii hii niweze kujifunza zaidi (GREAT THINKER) Tupo pamoja
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Humu ndani....hodini....
0 Reactions
13 Replies
2K Views
andika chchte twende sawa
0 Reactions
11 Replies
2K Views
hi guyz am new here naomba ukaribishoo
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakubwa shikamoni Wadogo mambo? Naombeni mnipokee kwny familia ya JF. Asanteni.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hakika nmeipenda jf
0 Reactions
4 Replies
941 Views
Kutoka kusoma habari bila kuchangia na wakati mwingine kucheka mpaka, kujoin jamii forums as a SHADOWANGEL... Mi ni he
0 Reactions
6 Replies
983 Views
leo ni birthday yangu natimiza miaka kazaaa:hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail::hail:
0 Reactions
5 Replies
917 Views
Wanajamvi najitambulisha mjengoni mi mgeni
0 Reactions
4 Replies
961 Views
mko poa wa jf?
0 Reactions
4 Replies
862 Views
habari ndugu wapenda amani,maendeleo n.k naomba lidhaa yenu tuwe pamoja katika hoja na vihonja.najua kunabaathi tutatofautiana kwa ajili ya Chama,dini,michezo na n.k. naomba sana haya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hodi. mimi ni msichana moja nchi ya uchina, ninajifunza kiswahili.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wana jamvi natumaini mu wazima wa afya naomba mnikarbishe na mnionyeshe njia za humu
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani hodi humu
0 Reactions
11 Replies
1K Views
habari zenu wanaJF. mm ni mgen humu nna kama sku kadhaa na nnaomba samahan kwan sikujua kama kuna jitambulisha. kwa kwel nmefuraiya sana jnsi elmu ya kmaisha inavyo tolewa hum, hakka kwa hz sku...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
naomba mnipokee
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…