Naikubali sana hii kitu coz huwa siko nyuma ya muda hata siku moja na mengine niyapatayo humu hayapatikan kwingine..big up sana founder wa hii ktu
Sent from my iPhone 4 using JamiiForums
Natumaini ni wazima wa afya na mkotayari kwa mapokez yangu,nitafurahi pindi nitakopoona nakaribishwa na kupokelewa kwa moyo mkunjufu bila kinyongo.Asanteni,,,..@
Habari gani hapo ulipo, natumaini utakuwa ni mziwa wa afya ila kama utakuwa c mzima wa afya nakupa pole sana kwani hakuna aliyekamilia ktk dunia hii na si kama wewe ukiamka mzima basi na yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.