Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodii Wenyeji Nimekuja kuungana na vijana na wazee kubadilishana mawazo, kuelimishana na kuenjoy nanyi Ahsante
0 Reactions
6 Replies
713 Views
Habari zenu wana jukwaa... Jamani nikaribisheni mimi ni member mpya. Pamoja sana watoto wa Mungu.
0 Reactions
7 Replies
902 Views
nawasalimia
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wana jf hodi mpk ndani natumai mu wazima mm mgeni humu naombeni mnipokee.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamaani salamu zote! Baada ya kukurukukuru tu kwa muda mrefu nikaona bora nijiunge rasmi na nimefurahi sasa kuwa mwana-JF halisi.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
New member,from Dar es salaam,Tanzania
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni Mgeni kukaribishwa ni muhimu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nimekuja kujipatia maujuzi humu mnipokee.
0 Reactions
2 Replies
651 Views
Hodi jamani humu ndani ,naruhusiwa kuingia na fyatu fyangu au nifivue..? *(f~v)
0 Reactions
5 Replies
890 Views
Naombeni ushirikiano wenu kwani mimi ni mgeni humu jamiiforum na ninahitaji ushirikiano wako kuniwezesha zaidi na kunifanya nijisike furaha nikiwa nanyi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:
0 Reactions
2 Replies
791 Views
Hi every body
0 Reactions
3 Replies
580 Views
Mimi ni member mpya naomba mnipokee ili niweze kushirikiana nanyi
0 Reactions
10 Replies
1K Views
WodaP.., wana JF mm ni member mpya japo nlikuwepo ktambo nikisoma post za watu, ila kwa mda huu nimeona na mm niji regst ili niweze kutoa mawazo yangu na mchango. Wangu katka ujenzi wa taifa. Na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaman hod! naomben karibu yenu mliomo humu!!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu jaman am new here naomba mnipokee..
0 Reactions
3 Replies
859 Views
Habari zenu wana jf Mimi ni mdau mpya naitaje ruhusa yenu wenyej wangu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu wana jf, mda mrefu nimekua ni msomaji wa post zenu, so nw nimebahatika kujiunga nanyi mnikaribishe jaman..
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Nafurahi kuungana na ndugu wenye mawazo na mitazamo iliyo wazi ktk mambo mbalimbali. Nisaidieni namna ya kuishi humu jf
0 Reactions
3 Replies
865 Views
Hodi hodiii mjengoni komandoo nabisha hodi na kipensi changu jukwaani nasema nipookeeni mgeni mwenye kipensi
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…