habari zenu mabibi na mabwana, ni imani yangu kuwa mu wa afya 'kiasi' chake, nasema kiasi kwa sababu kuu hasa ya janga ambalo limeikumba taifa kwa sasa... janga hili si lingine bali ni la mdudu...
ni furaha kwa kila mtu kupata wakati mzuri, katika yote twategemea watu na vitu vinavyotuzunguka.twapenda faraja na furaha pale tunapokutana, naeatakia ucku mwema
Kwanza asanten kwa kunikaribisha katika jukwaa hili la vijana ambalo naliona ni bora kuliko hata facebook...kiukwel nimeipenda sana hasa kwa mada zilizomo humu ndani...nategemea kupata marafiki...
habar zenu wadau wakubwa kwawadogo,Mimi ni kijana wakiume naish Dodoma Naombeni msaada waharaka kwan nasumbuliwa na #tumbo #Maumivu nayopata yapo namna hii yalianza maumivu makali chini yakifua...
We are Digital World Technologies......... DWTech
Kampuni mpya inayojihusisha na "IT Services" na "website development"
tunadesign
website.. na blogs..
majarida..
vipeperushi..
mabango...
habari wapendwa,
hakika katika mambo mengi yanahitaji upendo, mbali na upendo kuna mahusiano ambayo hutuhusisha sisi wanaume na dada zetu. Mapenzi huleta furaha pale mnapokuwa na amani.
Hakika...