Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Jamani ndiyo nimeingia jamvini,naomba mnipokee.
0 Reactions
5 Replies
861 Views
mimi ni mgeni hapa jaman nimetoka hukooo analojia naomba mnipokee wenyeji wangu.
0 Reactions
8 Replies
861 Views
Habari zenu wadau Wa jf, nimepiga hodi humu ndani..tafadhali nikaribisheni.
0 Reactions
4 Replies
867 Views
introduce yourself na karibu katika majamvi yetu. (THE HOME OF GREAT THINKERS)
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu
0 Reactions
9 Replies
998 Views
Napiga hodi ndani ya JF kwa mara ya kwanza, nawasilimu na wapenda wote. Big up sana jamii nzima ya JF.
0 Reactions
9 Replies
853 Views
kwa kipnd kiref nlikuwa naptiaptia tu hp jamii.imefika wakat nmeona n bora kuwa mwana-family.ckuchelewa,jana nikafanya niwezalo n sasa nko humu rasmi nipokeen plz,maana waswahili husema"ugeni utoto"
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nimeangaika sana kujiunga Jf hatimae leo nimefanikiwa, habari zenu wapendwa natumai mu wazima wa afya mimi ni mwenzenu naomba mnipokee.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nlipokuwa chuo kuanzia 2010 rafiki yangu mwanyeji wa Dar alipenda sana kutumia JF wakati huo mimi nikitumia sana Mjengwa. Basi bwana tukaambukizana mi pia nikaapenda Jf na kwa mjengwa. Baada ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
jamani me ndo naingia j.f ka vp nipen hintz
0 Reactions
7 Replies
834 Views
me ndo nishazama humu ukaribisho wenu tu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana jf kwa ujumla, mimi ni mgeni humu, tafadhalini naomba ukalibisho wenu
0 Reactions
6 Replies
915 Views
Jamani kama nilivyojitambulisha ni mgeni wa kujiunga JF lakini ni mtumiaji wa JF tangu 2010 nikiwa chuoni. Naombeni mnipe sapoti hasa masuala ya Ujasiriamali,siasa,michezo na habari mchanganyiko...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hodi wenyeji, nimeingia rasmi jamvini
0 Reactions
5 Replies
668 Views
hodi wenyewe!
0 Reactions
4 Replies
842 Views
Hello WanaJF!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hi All, I'm really new and recently i have joined this forum. Please say welcome to me!!!!
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu mi ni mgeni humu jamvini naombeni sana mnipokee.. Ninaahidi kutimiza yote yanayopaswa kutimizwa humu jf ili niepuke vitu kama ban au kukwaruzana na members wenzangu with no good reason..pia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba mnikaribishe jamvini
0 Reactions
12 Replies
1K Views
wakubwa shikamoni,wadogo mambo,mimi ni mgeni humu ndani ila ni ila ni mwenyeji nje,nimekuwa nikisoma mawazo yenu humu ndani kwa muda mrefu nimevutiwa nayo sana na mengi yanafundisha.si mnajua tena...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…