Tom Ogwe Otieno, Director & Founder of Seaside and Landside Forensic Intelligence Consultancy
First I would like to thank you for introducing yourself in this "post thread" .
The main language...
mimi bado mgeni sijui hata jinsi ya kutumia hii j,f ila kwa kuwa sisi watanzania tuna la kujivunia ni umoja tulionao sisi watanzania kukosea ndiyo kujifunza kwa siogopi hii j.f ni yetu sote tusio...
Wakuu, awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima , kuiona siku hii muhimu; tunapoadhimisha miaka 50 ya Muungano wa nchi yetu - TANZANIA. Mimi ni mgeni...
mimi naitwa Joseph Andrew kutoka Mwanza na pia ni mwanafunzi kutoka chuo cha sayansi na tiba cha bugando nipo mbele ya jukwaa hili kama mgeni kwa hiyo naombeni mnipokee.
Assnteni
Baada ya kuifuatilia muda mrefu kama "mgeni" nimeona leo ni wakati muwafaka wa kujiunga na forum hii. Mlio wazoefu napenda mnikaribishe
Daniel Zwangendaba