Jamani nilikuwa nafuatilia JF kupitia kwa jirani, sasa naona wakati mwafaka wa mimi kuomba kushiriki kupasua vichwa pamoja na kuendelea kujifunza pamoja!
Mambo vipi wageni karibuni sana kwenye huu mtandao.Ili uweze kukaa vizuri humu unashauriwa kupitia sheria za humu kwanza.Pia unatakiwa kutumia lugha ya heshima na adabu ambayo siyo kero kwa...
Baada ya kipindi kirefu kuwa nachungulia jf na kuishia sebulen nimeona ni vyema sasa na wakati muafaka kuingia mpaka chumban.
Naomba mnipokee na kunikaribisha waungwana
Hasanteni sana uongozi wa JF kwa kunikubalia ombi langu na kuniruhusu niungane na vichwa vya humu jamvini..,...... leo ijumaa na mimi nawakaribisha sana.
mpaka umri huu sijamjua baba yangu wala ndugu wa upande toka alipokufa nikiwa mtoto mpaka nimekua hakuna kabisa ndugu wa upande huo..nimelelewa na bibi na babu kwa upande wa mama yangu toka mama...