Wadau habari zenu za leo? Baada ya kuwa mtazamaji kwa muda mrefu tu(nilikuwa guest user) tangu nione hii kitu ofisini kwa jamaa yangu basi leo nimeona nijiunge rasmi ili niweze kuchangia na pia...
nimekuwa nikishiriki jamiiforum km mgeni kwa muda mrefu sana. Kuna mengi mazuri km uhuru wa kuongea, kupashana habari, kujifunza na kuwafunza wengine, kuona misimamo na dhamira za watu mbalimbali...
Naitwa Ras junior nipo. Arusha nafanya biashara ya kuuza simu. Na pia ni artist. Ukitaka tufanye Biashara. Au issue za sanaa namba hyo hapo 0765838708
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
jamani nabisha hodi mimi ni mjeni kabisa hapa ila ni mtanganyika halisi na naililia nchi yangu iliyokuwa na baraka na jina lililotukuka,umri wangu ni chini ya miaka ya muungano lakini hainizuii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.