Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Sinajipya
0 Reactions
5 Replies
798 Views
Loh nlikuwa sjui kuwa yakupasa upige hodi ndo ukaribishwe... Forgive my manners Lakini naomba mnipokee kwan nami napenda sanaaa kuwa memba wa JF.....
0 Reactions
7 Replies
732 Views
Mnipokee! Mwenzenu nimekuja juzi. Nishaanza kuchangia. Jf naikubali saaana.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nimevutiwa sana mada zenu, maoni yenu,michango yenu,n.k sasa namimi nimo nanyi, tupo pamoja.
0 Reactions
6 Replies
714 Views
Jamani au ndo mnakaribishana kisura maana mi nilibisha hodi hata mtu mmoja kusema karibu hakuna duuuuuuuu!
0 Reactions
6 Replies
902 Views
Cyber war ambayo inazidi kushika kasi sasa inafuruliza katikati ya jamii inayo pigana kujikwamua kiuchumi je mabanki ;nyanja nyeti za kitaifa zitabaki salama /usalama wa ndani selikali...
0 Reactions
4 Replies
842 Views
Mgeni naingia jamani,naomba ukaribisho.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hodi Hodi Wanaja JF
0 Reactions
6 Replies
766 Views
Nimekua mfuatiliaji wa JF kwa muda na nimeamua kujiunga rasmi. Tafadhali naomba ukaribisho na mawaidha yenu wadau kabla sijazama majukwaani. Asante​ :smiling:
0 Reactions
6 Replies
795 Views
kawaida
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Amani iwe juu yenu.........!!!
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nafurah sana kujifunza nanyi ktk forum hii. Nitajitahid kuwa nanyi bega kwa bega ktk kujifunza pamoja kwani elimu haina mwisho.
0 Reactions
12 Replies
985 Views
Nipeni raha za dunia. Hamjambo lakini?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
mimi ni mgeni humu ndani nimetokea fb whatsaap Instagram na viber naomben mnipokee maana hata huku pia nimepapenda kuishi maana hali ya hewa yake ni nzur.hodi tena
0 Reactions
8 Replies
907 Views
Wakuu me mgeni huku ndani Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
944 Views
Am back friends...hope to get gud ideas from you friends...
0 Reactions
4 Replies
763 Views
Naomba kujitambulisha.
0 Reactions
3 Replies
869 Views
Mambo, nilikuwa mdau sana wa jf sasa nimeamua kujiunga rasmi, naombeni ushirikiano wenu.
0 Reactions
5 Replies
688 Views
Ndugu yenu nimeingia naomba mnipokre
0 Reactions
3 Replies
696 Views
Dear all Nimetanguliza shukrani kwa kuzingatia maadali ya kitanzania huwa mgeni kawaida hakataliwi, UPO?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom