Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
marafiki naomba mnipokee humu ndani, kwani nimekuja na mawazo mazuri ya kujenga taifa letu, je naombeni mniambie marafiki wabaya ni akina nani ili niwaepuke.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hodi wapendwa mm mgeni nilikuwa sijui jinsi ya kupost news leo ndo nimewweza am happy jaman nc tym
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mm mwanachama mpya
0 Reactions
7 Replies
822 Views
Jamani napiga humu jf mara nyingi huwa nasoma tu na mimi nataka nitoe maoni yangu tuchangie
0 Reactions
3 Replies
601 Views
Habar wana JF Mimi mgeni humu naomben mnipokee Mdogo wenu
0 Reactions
10 Replies
937 Views
Naomba kuwasilisha
0 Reactions
8 Replies
785 Views
Naombeni mnipokee kwa mikono miwili napenda sana hili jukwaa linaelimisha, kuburudisha na kuriwadha
0 Reactions
12 Replies
1K Views
mambo vipi wanajamii wenzangu, japo nimeingia miezi kadhaa iliyopita nimeona si vibayaa nikiwajulia hali..
0 Reactions
5 Replies
765 Views
Mnaonaje Mchakato Wa Kupata Kitiba Mpya., Hivi 2tapata Kitiba Itakayomlinda Mtanzania Na Haki Zake Za Msingi!! Duh! Jaman,
0 Reactions
5 Replies
775 Views
Naomba kukaribishwa rasmi ndani ya JF.
0 Reactions
5 Replies
834 Views
Naombeni nikaribie humu ndani kwa heshima yenu jamani...nafurahi kujumuika nanyi wana jamii wenzangu naombeni na nyie mfurahi pia tafadhali...
0 Reactions
8 Replies
756 Views
Toka ujinini jini nimeingia mjini katika pita pita zangu nimeibukia humu naomba mnikaribishe mimi ndio yule jini Mzizimkavu ananiongelea na tayari nishamgeuzi sara umbwa asanteni saana kwa sasa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Hodiiiii
0 Reactions
6 Replies
900 Views
hodi waungwana!! naomba mnipokee. selfish
0 Reactions
5 Replies
844 Views
hodii watz
0 Reactions
6 Replies
757 Views
Hey members I'm a new member humu ndani though nilikua napitiaga tu kusoma topic za wa2 nikaona bora na mm niwe one of the jf
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za J'pili wana JF. Naamini mu buheri wa Afya njema
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hodi hodi nipokeeni wana JF.
0 Reactions
4 Replies
890 Views
Natumain wanachama wote na viongozi wa jamvi mu wazima,Nimesoma kanuni, sheria na tatatibu za maadili jamvini nimrzielewa naomba kujumuika na nyinyi.
0 Reactions
6 Replies
685 Views
guys nipo mbeya mbalizi na nipo idle sana... company please kwa mliopo hapa.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…