Naombeni mnijuze kuhusu hili..Kila napojarabu kupost thread inakataa kwa kutumiwa mesej kutoka jf..Je?kuna hatua nyingine za kufanya baada ya utambulisho?au nin cha kufanya.Naomben msaada wenu...
Habarini marafiki zangu
naomba kupata marafiki hapa jamii naomba ukaribisho wenu
nami nipate watu wa kuchat nao katika mada mbalimbali
nikaribisheni marafiki
Wakuu Salaam, Mimi mwenzenu humu jamvini si mgeni ila ID yangu ilifutwa baada ya kupost Taarifa ilikuwa ina mmhusu Mhe Zitto bila ya kujua kuwa ingepelekea kufuta ID yangu ilikuwa imejenga heshima...
Habari ndugu zangu. Mimi ni mgeni toka Namanga naomba kujua namna ya kufanya ili kuweka posts hewani na kusomwa na wote. Naomba msaada wenu please! Nakutanaga na matukio mbalimbali za uhakika...
Hi WanaJF,
nimeingia ndani ya ukumbi huu tuelimishane nisiyoyajua mnijuze na msiyoyajua niwajuze katika kila nyanja nami nina imani kubwa nanyi kwa ni Watanzania tuna hurka ya kupendana ndio maana...
Jina langu ni NINGA WILDLIFE kwa kirefu zaidi sema NINGA WILDLIFE FOUNDATION.
Malengo yetu na mipango ni kuelimisha na kukumbushana kuhusiana WILDLIFE(FAUNA AND FLORA) HISTORIA kupitia mitandao...
Habari zenu wana jf! Mie si mgeni sana hapa jamvini nilikuwa mgen tu nasoma na kupitia thread za watu mbalimbal so nimeamua nijiunge ili niendelee kuenjoy zaid. Thanks have a nice...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.