Namshukuru mungu kwani nimefanikiwa kuwa jf member.Naombeni mnipokee great thinkers japo sina uhakika kama wote humu ni ma great thinkers.Mungu awabariki
Mie ndo nimeingia rasmi leo ndani ya great thinkers, nilikuwa msomaji mzuri nawashukuru sana members wa humu nimejifunza mambo mengi sana mazuri humundani yani hii ni shule tosha ya kimaisha...
Natumia jina linaloonekana juu hapo Karl Marx na naomba wanajamvi mnipokeeee!!! nmekuwa nikifuatilia jamvi hili kwa mda sana nikaamua sasa nami kujiunga ili niweze kushiriki. Asanteniiii