Waswahili walisema raha ya ngoma wiingie ucheze,nilipo kuwa nje ya uwanja nilikuwa naona shida sana pale ambapo mawazo yangu machache hayawezi kuchangamana na mengine.
Hivyo wanajf naomba mnipokee...
baada ya kupita na kishangaa kila uchwao jf sasa nimeamua kuingia ndani na mm nijisongeze fikra zangu na kupata maarifa zaidi,
Nimesoma post nyingi sana za watu mbalimbali na nimejifunza mengi...
HABARINI WANA JAMVI..MIMI MEMBA MPYAA..NAOMBA MNIPOKEE KWA MIOYO YENU YOOTE...KI UKWELI NI MSOMAJI MZURI SANA WA POST ZA HUMU JAMVINI TOKA MIAKA MINGI...ILA SIKUA NA MTO WA KUJIUNGA...LAKINI SASA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.