Habari ndugu zangu wa Jamii forum,naomba mnipokee niwe mmoja wa familia yenu tufundishane,tuelekezane na pia tupeane maarifa mapya kwani naamini Jamii forum ni kisima cha maarifa
Ninaitwa Rehema Chahe, ni mgeni humu ni matumaini yangu nitajifunza mengi kutoka kwenu na mtajifunza mengi kutoka kwangu, Baraka za Mungu ziwepo nanyi, asanteni.
Hodi! Mimi mgeni humu ndani naomba nikaribishwe. Nimekuwa nikifuatilia JF kwa juu juu na sasa rasmi nimeamua kujiunga ili kushiriki na tuendeleze umoja na mshikamano wetu kama waTanzania [emoji1754]
Habarini wote , me ni mgeni humus ndani ila nimekuwa nikufiatilia madam mbalimbali , nimejiunga rasmi kwa kuwa napata madini ya maana humus.
Kwa ufupi naipenda mno Jamii forum. Kwani ninajifunza...
Mabibi na mabwana wa jamiiforums hodi! Baada ya kukaa nje na kufurahia ladha ya JF kama guest, leo nami nimeona ni vyema nijitose kuogelea humu ndani.
Nimependezwa na kila kitu kinachotendeka...
Habari wana jamvi..
Km kichwa kinavyojieleza apo juu,nimekua mfuatiliaj wa mda mrefu juu ya mijadala mbali mbali,hivyo nimeona nami nijiunge nanyi ili nipate kuelimika na mambo mengi yanayojiri...