Heshima mbele kwenu wanaJF wote. Mimi ni mgeni, katika JAMVI hili, nimeamua kujiunga baada ya kupendezwa na michanganuo ya mawazo, elimu, ushauri, burudani niliyokuwa napata kwa kuisoma JF juu juu...
MIMI NAITWA DEES, NIMEKUJA KUPIGA VITA UMASKINI KWA KUELEZANA UKWELI.
NIKARIBISHENI JAMANI,NA KUOMBANA USHAURI NA KUELEZANA KWELI KATIKA MAMBO YA NDOA, MNISAIDIE WANA JAMII.
THANK YOU.:A S-key:
Habari zenu wana JF. Mimi ni mgeni kabisaaaa, yaani mgeni hasa ndani ya JF. Ukisikia kwamba kuna mgeni amefika hapa nyumbani, ndio mimi. Hodiiiiiiii Jamani Eeeeeeeee! Mbona Kimya, hakuna hata...
Wanajamii kwanza mnisamehee bure kwani nimekuja hapa kitambo kidogo kama miezi miwili hivi lakini nkawa cjatoa heshima yenu nikajioma nitalijua jiji 2 kumbe wenyewe mna mila zenu leo naomba baraka...
Simu yangu ni nokia 6151, na tatizo lake kubwa ni kwamba "switch" yake ya kuwashia imeharibika. Sasa ni kwa jinsi gani naweza kulitatua tatizo hili? Je, ninunue "housing" nyingine mpya ili kuipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.