Mimi ni mgeni ktk jamiiforum naomba nafasi moyoni mwako nitue ili tupate kuijenga na kuchagia mawazo mbalimbali hasa upande wa kijamii,kisiasa,na kiuchumi namini tu pamoja ktk uwazi na ukweli
Naomba kukaribishwa humu jamvini kwan huko nilipotoka hapakua class yangu ila humu nahc nimefka,naomben ushirika mwema nanyi wana jamvi,natangulza shukran.
Salaam Wana JF
Baada ya kuwa najihusisha na JF kwa muda mda mrefu, Nimeona sinabudu kujiunga na kutoa michango ya moja kwa moja.
Hapa naomba ushirikiano wenu na muongozo pale inapobidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.