Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mwanajamii mpya...... salam....nami nimo
0 Reactions
4 Replies
656 Views
habari zenu wana jamii forums mi ni member mpya na ninafuraha kubwa kuwa miongon wanachama katika site hi ,muwe na mchana mwema na jumapili njemai
0 Reactions
3 Replies
800 Views
Mm ni mgeni na ninahitaji kupokelewa.....
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni ktk jamiiforum naomba nafasi moyoni mwako nitue ili tupate kuijenga na kuchagia mawazo mbalimbali hasa upande wa kijamii,kisiasa,na kiuchumi namini tu pamoja ktk uwazi na ukweli
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Awali skutambua kama kuna v2 sensitive navmic ktk maisha had nlpokutana na JF nataraj kupata meng zaid kutoka kwenu wakuu!!! Hooodiiii
0 Reactions
13 Replies
903 Views
plz nipokeen
0 Reactions
6 Replies
821 Views
hellow Jamii forums community! am new member and i decided to join this community to i) learn ii) share our knowledges in all aspects!
0 Reactions
6 Replies
903 Views
Hello good people. Baada ya kuwa guest kwa siku nyingi nimeamua kuingia mazima sasa. Mnikaribishe....!
1 Reactions
7 Replies
696 Views
Habari zenu......nifuraha yangu kuwa hapa na nyie ..asanteni
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimefurahi sana leo kuweza kujiunga jamii forums kwani ni siku nyingi sana nilitamani kuwa member wa jamii forum na leo ndoto yangu imetimia
0 Reactions
13 Replies
1K Views
wanajf nimewasili rasmi kwa magreat thinkers
0 Reactions
7 Replies
796 Views
jaman mbona wengine hamuitikii.? ila mwaveeja sana kwa mliokubali
0 Reactions
5 Replies
905 Views
Naomba kukaribishwa humu jamvini kwan huko nilipotoka hapakua class yangu ila humu nahc nimefka,naomben ushirika mwema nanyi wana jamvi,natangulza shukran.
1 Reactions
5 Replies
730 Views
Hodi hodi jamani? wenye nyumba mpo? Jamani nipo mlangoni nagonga, naomba mnifungulie basi! siku njema, ndimi directortanzania.
0 Reactions
2 Replies
688 Views
Hi!
habari wandugu, mimi mgeni naomba mnipokee wana jf. asanteni.
0 Reactions
6 Replies
737 Views
Hi jf members mi mgeni jamani naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
7 Replies
793 Views
Hellow guys
0 Reactions
6 Replies
808 Views
wanajf nimeamuwa kujiunga kwa greater thinkers
0 Reactions
7 Replies
674 Views
:couch2: hodi, nimeingia naitwa majaribu 2013 natarajia mtanisaidia kuyashinda.
0 Reactions
6 Replies
891 Views
Salaam Wana JF Baada ya kuwa najihusisha na JF kwa muda mda mrefu, Nimeona sinabudu kujiunga na kutoa michango ya moja kwa moja. Hapa naomba ushirikiano wenu na muongozo pale inapobidi...
0 Reactions
5 Replies
628 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…