Member mpya nimeingia ukumbini, nimesononeshwa na mengi, lakini hili la TBCCM kuandika kwamba Obama ni rais wa Tanzania, linatia kichefuchefu.Shame on them.
Hi all
Baada ya kutumia jina la kuazima na avatar fake kwa muda mrefu nimeamua kujiunga kwa jina langu halisi. Nina sababu zangu binafsi zinazo nipeleka kubadilisha privacy yangu. Naomba...
Hi ! Kwa heshima na taadhima thinkers najitokeza katika uwanja huu ili nipate meng bila chabo kutoka kwenu ,nami niwajulishe yale niyajuayo . Mnipokee tafadhalin wakubwa .
Nilisikia rais oama hatotumia chakula wala kinywaji cha Tanzania!
Swali langu hivi tunaweza kusema kile chakula cha jioni kilipikwa na Marekani akakaribishwa Kikwete?
Ndio naingia jamani,nipokeeni kwa hesima na taadhima!Niaje ma Greater Thinker!Mpo!Au mpo mpo kama kina naliu,nani wale wa pale mtaa wa Rais wa kwanza aliye uliwa kule Zaire nani yule...aah!Lete...