Hello youngs and elders,
Here I come to join this team for the betterment of my social, economic, political and other life aspects. Hopping for the best.
I remain madam.
Hodihodi wenyeji. Naomba mnikubali maana kwa masikio na macho sijambo.Tatizo langu kinywa kizito. Ila inapolazimika KU- PINPOINT kasoro huwa sichelei muhusika.
Napenda kuja kuchambua siasa za ukweli na kupata maoni yenu yaliyo na dhati ya moyo.
Muda mwingi nimesoma makala mbali mbali, nikagundua kuna ushabiki wa kisiasa Tanzania.
Je kwa nini tusijadili...