Napenda kutumia fursa hii kuwasalimu wana jamii wote na kuwapongeza kwa kazi nzuri mnayofanya kwa kweli ni mchango mkubwa ktk kuendeleza taifa letu. Kwa mda mrefu nilikua nikifuatilia jf kama...
daaah ni furaah yangu kua mmoja wa watu katika jamiiforums ambaye nitaweza kushare post mbalimbali na wezangu pia na kubishana kwa hoja Katika Post Za member wengine
Habari zenu bandugu,jama me mgeni humu jamvini hivyo naomba mnipokee.kama kwa mikono,miguu au vichwa haijalishi but mnipokee salama!ni hayo tu kwa sasa.
Hello Everyone, I am a new member of Jamii forums, I must say I am impressed with the forums,discussions and shared values among all of the members. I look forward to share Ideas and learn alot...
Dear Friend,New here. Also would like to become a verified member. I beg you cooperation. I much beg a cooperation of people who have a knowledge in computing aspect.Thanks