Hodi hodi wenyeji
nafurahi kujiunga nanyi leo
nipate nafasi ya kushiriki nanyi kwenye mijadala mizito ya katiba na mingine
jinsia ni Me na mwenyeji wa mkoani.
nitashukuru kwa maji ya...
Hodi nyumba hii ya ma-great thinkers...nina furaha na amani tele kwa kuungana na wana jf wote waliomo!hivyo naomba kukaribishwa.NAWASILISHA.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.