Napenda kuishukuru jamiiiforums kwa kunisajili kuwa mwanachama,nilikuwa msomaji tu na nilikuwa na shauku kubwa ya kutoa mawazo yangu na kuchangia hoja mbalimbali zinazoletwa hapa.
Kwa jina naitwa Michael Sonda, jamani mi ndio nimejisajili leo hii kwa hyo naomben mnipokee mwanajamii mwenzenu ili tuweze kufika kwa pa1 kule tunapotarajia kufika, muwe na siku njema wote!
ndgu wana jf,natumia muda huu kuwashukuru wote kwa michango na maoni yenu ambayo huwa mnaitoa pia huwa napata saa moja kila siku kusoma maoni yenu,mie kama mwanachama mypya nawapongezeni sana.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijielimisha kupitia JF, sasa nimeona ni heri na mimi nijiunge rasmi ili thinkers wengine wajifunze (japo kwa uchache) kutoka kwngu pia!
Asanteni sana!!
ndugu waungwana mimi ni mgeni katika jf pia naombeni muongozo wenu
kwani nimevutiwa sana na jamii forum
naamini kwa kutumia jamii forum nitajifunza mambo mengi sana
naomba mnipokee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.