Habari zenu wana jf,
Mi ni mgeni wenu ingawa nimekuwa nikiitumia JF kama chanzo cha habari kwa zaidi ya miaka 4.
Sasa nimeona nijiunge rasmi....Naombeni ushirikiano wenu.
Hodii.
Ni faraja kwangu kujiunga na JAMII forum , naamini LENGO kuu ni KUBADILISHANA FIKRA na kuijenga TANZANIA yetu!
Nitatoa USHIRIKIANO na wana forums wote bila ubaguzi WOWOTE.
Ahsanteni.