Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Just wanted to say Hi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaJF mwenzenu bado mgeni humu humu ndio najitambulisha rasmi kwenu. Naombeni ushirikiano kutoka kwenu Watanzania wenzangu. ASANTENI SANA.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Naitwa jonax a.k.a Kikofia. Picha yangu hiyo[emoji116] natumaini nitapata mapokezi mema, kama mlivyompokea member mpya.[emoji116] Liknk: https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17591462...
1 Reactions
212 Replies
12K Views
Hodi wana grew mimi ni new member wa hili group
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Hodi Asalam Aleikum ;);)
0 Reactions
5 Replies
727 Views
Leo ni siku yangu ya pili kuwamo humu ndani na nimeona si vyema kuwavamia "great thinkers" kimya kimya!! Lengo ni kujifunza vitu mbalimbali na kuongeza mtandao wa marafiki!
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Jaman me mgen hum ndan naomben ukaribisho wenu napend aman heshima na upendo kwa wezangu Natanguliza shukran kwenu Nawapenda wote
9 Reactions
84 Replies
5K Views
Jaman hodi humu ndani naomba muongozo tafadhali maana nimekua mfatiliaji kimya kimya kwa mda mrefu nikaona nakosa uhondo
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Hi, rasmi I'm a member.....!
2 Reactions
5 Replies
816 Views
Habari humu ndani,naomba mnipokee.Asante
1 Reactions
6 Replies
634 Views
  • Poll Poll
Nmezunguka nmejikuta nmedondokea humu Npokeen wanajf
0 Reactions
2 Replies
318 Views
Nahisi mpo njema sana Mimi mgeni naingia leo. Asanteni sana
0 Reactions
3 Replies
410 Views
wengine nawaangalia tu humu JF nawacheki nasema hihihiiiii...
0 Reactions
2 Replies
552 Views
Habari zenu mabwana na mabibi, nimekuja jukwaani kushirikiana nanyi. Nikaribisheni basi kwa bashashaa!
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari zenu, mie mgeni maeneo haya nawasalimu wenyeji wangu[emoji114]
9 Reactions
116 Replies
7K Views
habari wadau
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu? natumaini salamu hizi zitawakuta katika afya njema, Mimi Naniliu nimejiunga JF leo leo saa hii, kama mwanachama mpya ninaomba mnipokee mnikaribishe na kinywaji mnipe, ni hayo tu...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Wa-Salaam Aleikum sana, mabibi na mabwana Waungwana hata watwana, jamvini mnaofana Wembamba na wapana, wajuvi wa karakana Ndimi Al-Watan Nyeti, ziso vyeti Mtanzania burushi wa ki-sovieti...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
habar VP wana jf?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tayari nishaingia kwenye nyumba ya maarifa na wajuvi waliobobea katika taaluma zao, naomba kujuzwa nisiyoyajua. Asanten sana[emoji144].
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom