Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
habarini wana JF mimi ni member mpya humuuuuu mnikaribishe,,,, pia napenda kuwajulisha kuwa ni tabibu wa tiba asili
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari za muda huu marafiki zangu wakina kaka na dada poleni na shughuli za hapa na pale na stress za VYUMA kugoma kuachia ijapokuwa tumeshauliwa kutumia ati oil sjui grisi ilhali hata pesa ya...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
hodi humu wadau? Habarin wadau mimi mdau mpya..... naomba niwe miongoni mwa wanajamii wa mtandao wa (JAMIIFORUMS)..... ASANTEN...
0 Reactions
5 Replies
659 Views
wapendwa wana JF, HODI HODI humu ndani..
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari wakuu mimi ni member mpya katika ili jukwaa naomba mnipokee..
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni muda mrefu nimekuwa mfuatiliaji wa hoja mbalimbali humu JF so nimeamua niwe mmoja wa member ili nipate wasaa wa kujadiliana mambo mbali mbali ya kimaisha.....Asanteni sana na tupo pamoja wakuu.
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Za mchana wana Jamii ni muda mrefu sana nilitamani niwe mmoja wenu,kwa sasa nashukuru nimeingia rasmi, nikaribisheni mwenzenu
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Hellow Jf Mimi ni mgeni humu Naomba kuuliza, Jf huu mtandao upo Tz tu, je mwanzilishi wake ni mtanzania? Huwa najiuliza mara nyingi sijapataga majibu
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mua bán đất Điện Thắng với môi giới bất động sản qua mạng Mua bán đất Điện Thắng với môi giới bất động sản qua mạng: Không ai còn xa lạ với vấn đề làm việc với môi giới bất động sản khi mua bán...
0 Reactions
3 Replies
981 Views
Hello wana Jf naombeni mnikaribishe mi mgeni. Je kuna utaratibu gani wa kufata. Ahsanteni Nawasilisha.
3 Reactions
10 Replies
794 Views
Nawasalimu Mgeni humu tafadhali
1 Reactions
3 Replies
796 Views
Hodi hodi humu. Mie ni mgeni naomba ushilikiano.
1 Reactions
18 Replies
1K Views
I'm new up in here, let's work together. Ahsante, kushukur ndiyo utaratibu kwa mswahil[emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
690 Views
Habarini members wote wa jukwaa pendwa, mi mgeni, nimejileta mwenyewe kwa hiyari yangu mwenyewe bila kushawishiwa na mtu yeyote naomba nikaribishwe.
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
35 Reactions
760 Replies
42K Views
Nahitaji ushirikiano wenu kama mnavotoa kwa wengine nafurah kua mwana familia wa jamii forum kwan kila kitu nacho taka kukifahamu naimani ntakipata hapa kwa GREAT THINKES Nb:ni mzaliwa wa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Member mpya naomba ushirikiano wenu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
WanaJF napenda kusema nimejifunza mengi na nimeweza kujua mengine ambayo nilikuwa siyajui naomba kuwa pamoja nanyi asante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Asanteni sana nilikuwa na ndoto za kujiunga jamii F kwa muda mrefu.sana hatimae ile ndoto imetimia kabla ya 2019
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hellow guy naitwa ntumba ni mgeni Mahal hapa
0 Reactions
2 Replies
518 Views
Back
Top Bottom