Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Yaani nime miss JF Ville naona mambo giladi mdundo! Kwa wale ambao hatuja tambulishana basi tufanye hivyo Kwa wale tunaokurupushana/tuliowezakukurupushana, I miss You!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekuwa msomaji na mfuatiliaji wa Mada nyingi humu ndani. Hatimaye na me nimekuwa mwanafamilia sasa. Merry Christmas and happy new yea kwa member wote! Much lov kwenu! Sent from my iPhone...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
0 Reactions
9 Replies
945 Views
Mm mgeni Location: Arusha Elimu: diploma in accountancy Chuo: IAA
0 Reactions
9 Replies
856 Views
Jina langu ni John. Nafurahi kujiunga na JF family au jumuiya ya JamiiForums. Nilizaliwa Dar miaka ya 80's. Primary nilisoma Kilimanjaro na Tanga. Secondary nilisoma shule ilioko mkoa wa Arusha...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Jaman Mimi ni mgeni [emoji54][emoji54] Nawasalimu tuu mkoa poa humu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
954 Views
Mimi ni mgeni humu. Sent using Jamii Forums mobile app
10 Reactions
90 Replies
6K Views
Naomba kujitambulisha kama mgeni lakini mm si mgeni hapa account ndio ngeni ila mm nafuatilia jf kitambo sasa niko na miaka 11 umri wa mtu huo now nimeamu kufungua account ili nami niweze...
0 Reactions
2 Replies
834 Views
Nimevutiwa sana na mijadala yenye hoja zenye nguvu sasa naona nipate lau nafasi nipate kusema nanyi kidogo
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hi new comer hpa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
595 Views
Niaje humu ndani, kama kichwa cha neno nahitaji kukaribishwa mi mgeni nipeni uzoefu wa kudumu🇨🇩😃
1 Reactions
4 Replies
722 Views
mimi mgeni umu naombeni ushirikiano wenu wakuu
0 Reactions
3 Replies
578 Views
Hello! I am new here.
1 Reactions
5 Replies
879 Views
Mpo poa wadau
0 Reactions
3 Replies
464 Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa TZ, pamoja tunalijenga taifa.
0 Reactions
4 Replies
631 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
0 Reactions
4 Replies
563 Views
Happy to join, Hope ntajifunza na kufurahia Zaid.I also need 2 learn from Senior members [emoji120][emoji120]
0 Reactions
15 Replies
855 Views
Helo am new here, naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara, asanteni
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Nipo na furaha sana kukutana na jamii mpya ya JF hakika Mimi nimefurahi sana hii jamii na nilikuja Kwa shindano la stories of change Lakini JF imenivitia sana
2 Reactions
10 Replies
836 Views
Mimi ni mmoja wenu. Mnipokee kwa nguvu ya ajabu. Ili tufurahiane maana hii dunia tunaishi Mara moja tu.
1 Reactions
9 Replies
832 Views
Back
Top Bottom