Habari naitwa iyola naishi mbezi Lois ni mgeni katika jukwaa la JF nipokeeni wapendwa ,dhumuni la kujoin JF NI kuangalia fursa za kazi , connection na kubadilishana mawazo
Asanteni...
Habari naitwa iyola naishi mbezi Lois ni mgeni katika jukwaa la JF nipokeeni wapendwa ,dhumuni la kujoin JF NI kuangalia fursa za kazi , connection na kubadilishana mawazo
Asanteni...
I'm glad to be here, I'm a new member. Very young but I will be useful in here. I'm still a student in Arusha.
I'm doing forex trading, programming (making phone and computer applications), I'm a...
Hello! Leo naomba mnikaribishe mdau mpya kwenye jukwaa hili linalowakutanisha watu mbalimbali kujadili mada mbalimbali. Natokea kanda ya kaskazini, jinsia yangu ni MWANAUME.
Naamini kupitia hapa...
Jina langu naitwa Elikana Nikodemo Elikana, Kiukweli nafarijika sana napokuwa humu japo nilikuwa bado sijajiunga rasmi ila sasa nashukuru tupo pamoja...!! Ahsanteni sanaaaa
Pia binafsi ningependa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.