Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Asante.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hiiiii everyone
1 Reactions
7 Replies
746 Views
Nawashukuru sana mods JamiiForums kwa kufanikisha hili, pia members wote humu mmeni inspire kwa michango yenu mizuri ikafanya mpaka nikaamua kujiunga. Ahsante sana, itapendeza kama...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hey everyone to This side am a new member
2 Reactions
6 Replies
712 Views
Hi
1 Reactions
14 Replies
1K Views
"Amani ya BWANA iwe nanyi"
1 Reactions
6 Replies
923 Views
Baada ya kupotea JF kwa miaka sita (6) nimerejea tena. Naomba mnipokee.
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Hodi humu ndan mim mgeni nisie na kamba mguuni. Natumaini nitapanua ufahamu wangu kwa kuwa humu wapo watu wenye uelewa juu ya mambo fulani. All in all nipende kusema nafurahi kuwa member wa hii...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Napenda kujtambulisha as new member. Nahitaji support yenu.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Natumain mko njema wote kwa neema na Baraka za mwenyez mung [emoji120][emoji120][emoji120]
2 Reactions
5 Replies
817 Views
Rejea na kichwa habari hapo juu,mimi ni kijana nimejiunga na jamii forum siku za hivi karibuni Naomba mnipokee mnifundishe katika mambo mbalimbali. Wenu mtiifu G.B GANA BANKS
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa majina naitwa Kelvin Masalu Mhela,naomba kujiunga na jukwaa hili kwani limenivutia sana.Natanguliza shukrani zangu,asanteni sana
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Nawasalimu wana JF wote napenda kujitambulisha kama mwanachama mpya. [emoji1317]
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimejiunga hapa JF kwaajili ya kutetea haki za binadamu wote na wa aina zote. Tusimame pamoja kuleta mabadiliko chanya yatakayoanzia kwenye hii Forums kisha mpaka mitaani. Asalaam Aleiykum, Bwana...
1 Reactions
6 Replies
908 Views
Hello everyone...
1 Reactions
8 Replies
850 Views
mimi ni mgeni JF wakuu nipokeeni.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wandugu Mimi ni new member Naiman wakongwe wa jf mtanikaribisha na kunipa support Katika ujenzi wa taifa
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana jamiiforums. Mgeni miye naomba mnipokee kwa mikono miwili
1 Reactions
8 Replies
691 Views
Nawasalimu wanajamiiforum wote. Napenda kujitambulisha kama member mpya. Natumai tutakuwa pamoja. Asanteni.
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu mimi mpya katika hii society naombeni mapokezi yenu naamini tutashirikiana vyema.
2 Reactions
6 Replies
660 Views
Back
Top Bottom