Mimi ni kijana wa hovyoooo mwenye uhovyo wangu hapa LILLE nchini FRANCE nikiwa nasomea urubani.
Ustarabu ni jadi yangu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kutetema ndo raha...
Fani yangu ni Mtaalamu wa Saikolojia katika masuala ya Ushauri Nasaha na Unasihi.
Pia nafundisha Lugha ya Kingereza na Kiswahili kwa Wageni.
Karibuni wote.
Hodii,ni my first time kujiunga na ma great thinkers, naamin kupitia nyinyi nitajifunza mengi.
mimi naitwa calvin, nasoma kidato cha sita,tahasusi ya HGL.
Kama itawapendeza nikaribisheni...
Wakuu, kwema?
Baada ya muda kidogo wa kuwa guest member na kuona yanayoendelea katika majukwaa mbalimbali, its fair to say kuna mengi nimejifunza na pia kuna mengi ya kujifunza zaidi. Hivyo sasa...
Hallow mambo vipi wanna JF, naitwa Akida Siri a.k.a acky secreat Mtunzi wa The Hidden Truth ambayo ipo humu nikiendeleza series. Karibuni sana mnipe changamoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.