Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Yap, wana JF ni mwenzenu hapa nahitaji ushirikiano wenu
0 Reactions
4 Replies
589 Views
habari zenu wanajamvi! nimependa kuungana nanyi. ahsanten wote mlio tangulia!
0 Reactions
2 Replies
656 Views
nimejitoa huko fb,naomba kuingia jf
0 Reactions
5 Replies
689 Views
hodi hapa jamvini wakuu.
0 Reactions
7 Replies
905 Views
Mwenye kufahamu tafadhali naomba anijuze... Ahsante
0 Reactions
4 Replies
971 Views
Mambo,,jamani mm ni kijana wa miaka 28 nina mpenzi ambae leo nimemtambulisha nyumban baada ya kuondoka tu nokia na msindikiza alike italia nikajua furaha baada ya saa moja nikapigiwa simu kalazwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
leo nmeamua kujiunga na jamii forum mana nlikua nakosa mambo mengi humu kabla cjaregister, naomben ushirikiano wenu.
0 Reactions
4 Replies
760 Views
nimejiunga leo. ..naombeni ushirikiano wenu tunapokutana kwenye majadiliano mbalimbali wadau..
0 Reactions
5 Replies
762 Views
Jaman nipokeen nale ngw'ana john, nzukuru magembe. Ngw'aa mwanza mle mhola.?
0 Reactions
5 Replies
830 Views
ni mara ya kwanza kwangu kuingia humu nipokeeni
0 Reactions
4 Replies
808 Views
Habar wadau wa jf mm n memba mpya naomba ushirikiano wenu,km nyinyi n wenyeji naomba mm mgen nikaribishwe kigeni zaid.
0 Reactions
5 Replies
648 Views
:frusty: NDO MARA YANGU YA KWANZA KUJIUNGA NA JF, HAKIKA NIMEFAIDIKA SANA, HASA JUKWAA LA SIASA, NAMI NAOMBA TUJADILI HILI SUALA, :HIVI ILE DUA INAYOSOMWA KILA SIKU BUNGENI KABLA BUNGE KUANZA...
0 Reactions
4 Replies
647 Views
jaman me pia ni mmoja wa wana Jf
0 Reactions
3 Replies
1K Views
:yo: Pa moja sana!
0 Reactions
4 Replies
560 Views
Nilikuwa nimepitwa sana!nasikia huko ndani ni kuzuri tena kuna furaha saaaana!
0 Reactions
4 Replies
751 Views
Nami nimekuja mnipokee as mtu wa kutak kushare ideas katk jukwaa hili mahir...mnipokee plz
0 Reactions
3 Replies
707 Views
Kuna wananchi weng sana waciojua katiba ii iliopo n vp inawasaidia,wananchi awa awa ndo wanaopata shida kubwa za maji,hospital,shule nk,me kwa upande wangu cdhan sana kama suluhisho ya yote aya n...
0 Reactions
3 Replies
886 Views
napenda kutoa shukurani kwa uongozi wa Jf kwa nipokea pia wasomaji na members .nina ahidi kutoa mchango wangu kwenu ninaomba ushirikiano wenu
0 Reactions
4 Replies
829 Views
Habari za majukumu wana jf? Kwa muda mrefu nimekua nikipata habari na hoja mbali mbali kutoka mtandao huu wa jf kupitia page yao niliyoi like fb kusema kweli kuna nondo za kushiba sana(habari...
0 Reactions
6 Replies
827 Views
Nadhani nilikuwa nimechelewa kuwa ktk hii familia ili kunufaika kwa mustakbali wa maisha ya hapa duniani. Nipokeeni ndugu yenu!
0 Reactions
4 Replies
765 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…