Hello great thinkers, habari zenu wote! Ndo nimeingia hv jukwaani , baada ya kupitia topics mbalimbali nimebaini kuwa jf ni forum ya ukweli kbs, na hatimae nikajongea tartibu kabisa, your...
ni mda mrefu yapata mwaka sasa nimekua nikipita jf kama mtembezi tu, sasa nami nimeamua kujiunga rasmi kwa ma great thinkers. nipokeeni ili tulijenge taifa pamoja.
nawasilisha.
wanajamvi, mods ameshanipa jamvi nipo mbele yenu, na uhakika sijachelewa,naomba wale wanaojiona ni waungwana tupeane mkono wa hi,ambao hawapo ktk kundi hili wala wasinikaribishe.m/kiti afungue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.