Habari wakuu, naombeni mnipokee ndani JF, natumai kupata ushirikiano kama nilivyoshuhudia ushirikiano wa kimawazo nikipitia kabla ya kuchukua uamuzi wa kujiunga.
Nawatakieni heri na baraka tele
Baada ya muda mrefu kuwa gesti katika JF nimeamua nami kuingia rasmi hadi ukumbini. Nimekuja na agenda moja tu -- mabadiliko -- kwani nachukia sana watu wa magamba na usanii wao.
Kwa hiyo...
Kwa mara ya kwanza napiga hodi kwa wenyeji humu jf. Mara nyingi nimekuwa nachungulia kama mgeni lakini nimeona ni bora nijiunge pamoja nanyi ili tuchangie pamoja mawazo yetu kwa manufaa yetu sote...