Jamani wapendwa wana JF..Natumaini mnaendelea vizuri Kiafya na kimajukumu!
Mie naitwa Devj,nimependa michango,mawazo na misaada yenu kwa wahitaji na hivyo naomba kuwa mwanajamii mwenzenu katika...
Mimi ni Vilora ndiyo kwanza nimejiunga hapa JF. Kabla ya yote napenda kuwasalimia wana JF wote wakubwa kwa wadogo, Mabwana na Mabibi. Wakubwa shikamoooni na wadogo habari zenu. Tafadhali nipokeeni...
Ndugu zangu wana JF; mabwana na bibi,wakubwa kwa wadogo.Naomba mniwie radhi kwa kuingia ndani ya JF;bila kubisha hodi wala kuwasalimia.Naamini mtachukulia nami katika udhaifu na kunisamehe ndugu...
ni vigumu sana kwa watu viogozi kutambua kiogozi bora bali ni rahisi kwa watu wa kawaida kumtambua kiongozi mzuri kwaiyo ni wajibu wetu sisi kama wananchi kumtambua na kumchagua kiongozi mzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.