Habari wana JF, nimekuwa msomaji wa jf kwa muda mrefu ila leo na mimi nimeona nijiunge rasmi niweze japo kuchangia hasa katika maswala ya kisiasa zaidi na niweke wazi kuwa I HATE CCM, na sababu...
sikuwahi kufikiri kuwa humu,lakini kazi nzuri za wahusika wengi zimenivuta,pia kazi mbaya za wachache comments za matusi,nguvu za maneno zimeniita kujua kuwa tuna kipande cha watu katika jamiiya...
Mambo wana jf leo ndo my 1st time umu so naomba mnipokee
Ila pia nna tatzo naombeni ushaur mie ni msichana mdogo nnaejitegemea nna mpenz wangu ambae nampenda sana ila sasa tatzo linakuja kwamba...
Jamani,mimi jana niliingia hapa na ID ya "cappo" na leo nimeingia na hii ya capo, kutokana na sababu fulani nataka nitumie hii niliyoingia nayo leo yaani Capo,nataka hiyo ya jana nisiitumie au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.