Wapendwa watumiaji wa jamii forum salamu zangu za dhati ziwafikie popote pale mlipo na Mungu atuzidishie upendo wa kweli na tuwe wamoja....
Mimi ni mwezenu naomba ushirikiano ili tuzidi kujenga...
Natumaini tuta enjoy kwa pa1 na kushirikiana hapa JF na kwenye mitandao mingine niko Facebook kama Venance Gilbert na pia nifuatilie kwenye Twittr venancetz pia unaweza kuwa pamoja nami kwa njia...
Najitambulisha kwenu kama "Njuka" nikimaanisha "New Comer" kwa wale waliosoma miaka ya 80's wanalikumbuka neno Njuka likimaanisha nini....Nakuja humu "Ki-digitally" zaidi....
Hi, wana JF, wambaje na hal? yaani ni very interesting kuanza na hii kitu katika 2013, tuko pamoja wacha tupambane na maisha ili tupate nguvu za kumkubuka Muumba! Au vp waungwanaaaaaaaa!
Dear fellow learned great thinkers,
I am glad to join the "tank" of critical thinkers in the hope of contributing in the crafting of the ideas, view and opinions for the development of our...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.